Bodi ya ligi na TFF fuatilieni marefa wanaochezesha mechi za Yanga

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kanuni zipo kwa marefa wanaofanya makosa,Yanga wanajisifu unbeaten kwa sababu ya kuhonga marefa. Refa yoyote atakayechezesha mechi ya Yanga na akawafavor apigwe faini na kufungwa.

Ligi haiwezi kuendelea kwa mtindo huu, timu ikifungwa lazima watoe draw ya magumashi kwa kubebwa na marefa, wapinzani wanaocheza na Yanga wanafanyiwa uhuni wa kukatishwa tamaa, penati halali wananyimwa halafu za michongo wanapewa Yanga.

Hii timu ndo maana kimataifa huwa inapigwa nje ndani kwa sababu wanafanya mambo kimichongo kwenye ligi. Subiri wakutane na waporipori (Zalan) wavutishwe vumbi ya moto.
 
Hii timu ndo maana kimataifa huwa inapigwa nje ndani kwa sababu wanafanya mambo kimichongo kwenye ligi.
Usiongelee Yanga hata Simba zote tabia zao ni sawa kuhonga marefa na kununua wacheza wa timu pinzani,hizi timu mbili zikifa au kushuka daraja kwa miaka kadhaa tunapata maendeleo ya mpira

Tofauti na hivyo tutaendelea kuzidiwa na nchi zote hata hizo zilizokaa kwe vita kwa miaka dahali kama Rwanda,Burundi,Kongo.......Uganda ndo usiseme atatugonga miaka yote mpaka tukome
 
Kanuni zipo kwa marefa wanaofanya makosa,Yanga wanajisifu unbeaten kwa sababu ya kuhonga marefa. Refa yoyote atakayechezesha mechi ya Yanga na akawafavor apigwe faini na kufungwa.

Ligi haiwezi kuendelea kwa mtindo huu, timu ikifungwa lazima watoe draw ya magumashi kwa kubebwa na marefa, wapinzani wanaocheza na Yanga wanafanyiwa uhuni wa kukatishwa tamaa, penati halali wananyimwa halafu za michongo wanapewa Yanga.

Hii timu ndo maana kimataifa huwa inapigwa nje ndani kwa sababu wanafanya mambo kimichongo kwenye ligi. Subiri wakutane na waporipori (Zalan) wavutishwe vumbi ya moto.
Umepanic mikia imeota
 
Feitoto kawatungua mijishuti kama alivyowatungua Makolo kule mwanza je kuna goli la mchongo hapooo
 
Unatumia nguvu kubwa kuandika hii takataka yako [emoji706]
kama unaona yanga imebebwa leta timu yako
 
Back
Top Bottom