Usiongelee Yanga hata Simba zote tabia zao ni sawa kuhonga marefa na kununua wacheza wa timu pinzani,hizi timu mbili zikifa au kushuka daraja kwa miaka kadhaa tunapata maendeleo ya mpiraKanuni zipo kwa marefa wanaofanya makosa,Yanga wanajisifu unbeaten kwa sababu ya kuhonga marefa. Refa yoyote atakayechezesha mechi ya Yanga na akawafavor apigwe faini na kufungwa.
Ligi haiwezi kuendelea kwa mtindo huu, timu ikifungwa lazima watoe draw ya magumashi kwa kubebwa na marefa, wapinzani wanaocheza na Yanga wanafanyiwa uhuni wa kukatishwa tamaa, penati halali wananyimwa halafu za michongo wanapewa Yanga.
Hii timu ndo maana kimataifa huwa inapigwa nje ndani kwa sababu wanafanya mambo kimichongo kwenye ligi.
Umepanic mikia imeotaKanuni zipo kwa marefa wanaofanya makosa,Yanga wanajisifu unbeaten kwa sababu ya kuhonga marefa. Refa yoyote atakayechezesha mechi ya Yanga na akawafavor apigwe faini na kufungwa.
Ligi haiwezi kuendelea kwa mtindo huu, timu ikifungwa lazima watoe draw ya magumashi kwa kubebwa na marefa, wapinzani wanaocheza na Yanga wanafanyiwa uhuni wa kukatishwa tamaa, penati halali wananyimwa halafu za michongo wanapewa Yanga.
Hii timu ndo maana kimataifa huwa inapigwa nje ndani kwa sababu wanafanya mambo kimichongo kwenye ligi. Subiri wakutane na waporipori (Zalan) wavutishwe vumbi ya moto.