N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Yaani unaingia utafute taarifa current unakutana na last updated Machi 2022. Seriously!? Badilikeni mnatutia aibu kama taifa, ligi ya Tanzania unakosaje taarifa kwenye tovuti yenu.Imagine hapo kwenye screen shot ndo inasomeka hivyo leo Juni 16 2022!!! Duh !! Mnachekesha sana. Mihela yote ile mmeshindwa kuajiri kijana awe anafanya updates!