Tanzania ni nchi ya hovyo Sana , mkuu umesema Jambo ambalo hata Mimi linanitatiza Sana ,. Ukiingia kwenye web ya EPL unakutana na live score huhangaiki kupata matokeo , bongo sasa uwiiiiiii, uko zako kitaa unaskia makelele unauliza kuna nini unaambiwa kuna game ya Yanga na mtibwa , unakimbia kuangalia matokeo Kwa ufanisi unakuta web imelala, inabd ukimbilie Instagram Kwa Millard Ayo ndo unaweza kubahatisha ...huu ni ujinga mkubwa sana