Bodi ya Ligi (TPLB) Yawagomea SIMBA SC Ombi la Kucheza Azam Complex

Bodi ya Ligi (TPLB) Yawagomea SIMBA SC Ombi la Kucheza Azam Complex

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Bodi ya Ligi (TPLB) imekataa maombi ya Simba SC ya katakana kuutumia uwanja wa Azam compex, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga.

Simba SC imeomba kuutumia uwanja wa Azam complex kwa ajili ya wachezaji wao kuuzoea uwanja huo watakaoutumia kwenye mchezo wao wa marudiano ya Champions League dhidi ya Power Dynamos.

Inaelezwa Bodi ya ligi (TPLB) imewataka Simba SC kuendelea kuutumia uwanja wa Uhuru kwasababu ndio uwanja ambao wameuchagua kuutumia kama uwanja wao wa nyumbani baada ya Benjamin Mkapa kuwa kwenye Ukarabati.

Simba SC lengo lao ni kuwafanya wachezaji wao wauzoee uwanja wa Azam complex ambao watautumia Oktoba mosi dhidi ya Power Dynamos.

20230920_230029.jpg
 
Safi sana nitashangaa viongozi wasimba kama watalalamika maana haiingii akilini team kama Azam wamiliki uwanja afu team kubwa kama simba inaendekeza siasa
 
Uwanja ni wa Azam hao akina nani hadi wakatae? Au ndio Chadema na ccm kwenye vibari vya mikutano ya kisiasa?
 
Back
Top Bottom