Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu Dennis na Omary Omary, mido ya juu najua kama Fernandez, mtu makini sana huyu.
Striker nani kesho je Mukwala ataanza au atamsubiri Ateba, yeyote kesho anaweza kuondoka na mpira.
Kiungo mshambuliaji kesho nani katika burudani hiyo, Je ni Jeans Charles Ahoua au Awesu Awesu, kama kocha ataanza na inside ten Awesu Awesu kesho huna sababu ya kunywa bia, bia ziko dimbani pale Mwenge uwanja wa KMC.
Fountaif Gate nawaonea huruma, wakija vibaya mamangu mzazi anakula mkono kesho.
Mapemaaaaaa niko dimbani kesho, bodi ya ligi tafadhalini mechi moja kwa wiki kwa Simba hii ni huzuni jamani, mafundi hawa kesho watapiga pasi nyingi sana.