ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wakati wakiendelea kulalamikiwa na wakati semina yao ikiendelea bado wameendelea kutuacha vinywa wazi kwa maamuzi yao tata.
Mechi ya juzi ya Yanga dhidi ya Biashara tumeshuhudia yanga akinyimwa magoli mawili clear kabisa eti mfungaji alikua ameotea!..hili limeshangaza wengi...hata ukitazama replay yake unajiuliza offside ilikua wapi?
Hawakuishia hapo mechi ya jana baina ya Simba na Ruvu goli la kwanza aliloshinda simba na lingine hapo la Chama ilikua ni clear offside lakini waamuzi wetu wakayaona kuwa ni magoli halali!. si kama naandika kiushabiki lakini waliotazama game hizo zote mbili watakubaliana nami la hasha nakuomba utazame marudio ya mechi hizo.
Mwezi januariy tulioangalia mechi zile zilizochezwa zanzibar mapinduzi tuliridhishwa sana na aina ya uchezeshaji wa waamuzi wa kule visiwani.
Sasa tuombe watu wa bodi muda huu wakati hawa waamuzi wa bara wakiwa semina tuletewe wale kutoka zanzibar watupe burudani
Nawasilisha.