Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Lengo la kuwa na mechi ya nyumbani na ugenini ni kuweka mizania sawa kwa timu mbili husika. KMC wanatumia uwanja wa Uhuru hapo Dar kama uwanja wake wa nyumba.
Ombi langu kwa Bodi ya Ligi ni kuwapa heshima KMC kucheza kwenye uwanja huo kama wenyeji wakutanapo na timu za Simba na Yanga. Wasiwahamishe kwani hata mashabiki hawataujaza huo uwanja.