Bodi ya Ligi ya TFF ipeni heshima KMC uwanja wa nyumbani

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Lengo la kuwa na mechi ya nyumbani na ugenini ni kuweka mizania sawa kwa timu mbili husika. KMC wanatumia uwanja wa Uhuru hapo Dar kama uwanja wake wa nyumba.

Ombi langu kwa Bodi ya Ligi ni kuwapa heshima KMC kucheza kwenye uwanja huo kama wenyeji wakutanapo na timu za Simba na Yanga. Wasiwahamishe kwani hata mashabiki hawataujaza huo uwanja.
 
Hivi unajua kuwa timu mwenyeji ndio huamua wachezee wapi mechi za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulipia gharama za Uwanja?
 
Hivi unajua kuwa timu mwenyeji ndio huamua wachezee wapi mechi za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulipia gharama za Uwanja?
Atajulia wapi.

Hakumbuki hao KMC waliwapeleka Utopolo Songea kucheza mecho yao wakapokea kichapo kikali naona walijifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…