Kumbe bado mnangoja point za mezani?Yale ya mbeya wameyakalia
dUH, LINASONGA KAMA ROKETI.
Yale ya mbeya wameyakalia
Tena siku hiyo alikuwa kapteni kabisa.Ni jambo la kushangaza sana kwa Mchezaji kama Yondani kwa uwezo wake na uzoefu kufanya ujinga wa kiasi kile tena kwenye Mechi kubwa kama ile ya Watani wa Jadi..,
Ngoja apumzishwe kidogo ili azidi kujifunza!!!
Mkuu naona msumari umeingia. Hivi unakumbuka Abi Banda, tukipinga kitu Simba SC tunakuwa na mtanzamo wa mbele kuwa huenda kesho ikaja upande wako wakapata adhabu hizi za ajabu. Kwa hivyo vumilia tuUnamuadhibu kwanza halafu unasikiliza kesi bongo bana
Sipingi mtovu wa nidhamu kuadhibiwa, napinga mtu kusimamishwa ndiyo kamati ya nidhamu ikaeMkuu naona msumari umeingia. Hivi unakumbuka Abi Banda, tukipinga kitu Simba SC tunakuwa na mtanzamo wa mbele kuwa huenda kesho ikaja upande wako wakapata adhabu hizi za ajabu. Kwa hivyo vumilia tu