Bodi ya Ligi yamsimamisha Kelvin Yondani huku suala lake likipelekwa kamati ya nidhamu

Sipingi mtovu wa nidhamu kuadhibiwa, napinga mtu kusimamishwa ndiyo kamati ya nidhamu ikae
Ni sawa na kukaa rumande wakati kesi yako inaendelea, na unaweza kaa hata miaka mitano. Je hiyo siyo adhabu?
Nadhani ndyo mambo ya sheria hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…