Bodi ya ligi yatoa tamko ligi kusimama

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi ;

"Ligi yetu imesimama kwasababu ya ratiba ya awali iliyotolewa na CAF ,kwani kati ya tarehe 22 -25 kulikuwa na ratiba ya michuano ya CAN ,Bahati mbaya CAF wamekosa mwenyeji wa kuhost Fainali za CAN mpaka sasa hivyo mechi za kufuzu hazijachezwa."

"Pia CAF hawajatupa mrejesho rasmi wa lini mashindano yataendelea hivyo sisi Kama Bodi ya ligi kuanzia leo tutakuwa na kazi kubwa ya kuweka sawa ratiba ili kuziba nafasi zilizo wazi."

NB: Mbona ligi zingine zinaendelea ! au wao hawakupewa ratiba hiyo ya CAN ? [emoji42]
 
CAN ndio nini na wewe uto? TFF hovyo sana , yaani unakuta timu inacheza mechi 3 mfululizo nyumbani , uliona wapi hiyo?
 
CAN anacheza Tanzania tu? Mbona nchi zingine ligi inaendelea au ndo Azam anatrmbeza bahasha ili auze vifurushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…