Bodi ya mikop6 hii sio haki

Bodi ya mikop6 hii sio haki

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Llikuuwa ni leo nilipopigwa na butwa pale nlipoenda posta hapa mbeya mjini nlipofkakulipia ems ili ntume form kwa kwel nlishanga wakaniambia ni 11,000 dah hv bodi ya mkop6 inatutakia nn sisi masikin
 
Llikuuwa ni leo nilipopigwa na butwa pale nlipoenda posta hapa mbeya mjini nlipofkakulipia ems ili ntume form kwa kwel nlishanga wakaniambia ni 11,000 dah hv bodi ya mkop6 inatutakia nn sisi masikin

Sasa tatizo nini?? kama unaweza peleka ofisini kwao Dar.
 
hawataki upeleke moja kwa moja...hii ni biashara ya watu mkuu

EMS is the fastest parcel transfer ambayo iko katika maeneo mengi hapa nchini, na hizo gharama ni za EMS na sio HESLB wao walicho fanya ni kuchagua njia rahis na ya haraka, Sijui ulikua unataka watumie njia ipi???
 
Dah mtanzania anapenda mteremko;hebu angalia inavyokua:kuna mtu unampa barua,kuna mtu anatunza barua,kuna mtu anasafirisha barua,kuna mtu ni dereva wa kusafirisha barua!Watu si chini ya wanne wanahusika kufikisha barua yako!Je,unaweza kuwalipa mishahara hao watu ili utume bure au kwa bei chee barua yako?
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Tena wamekupunguzia inakuwaga 11600 wakati mwingine!
 
Acha maneno wewe, peleka pesa wakutumie barua usije kosa na kulalamika. mbona ile 30000 umeweza bila malalamiko?
 
kinachoumiza ni pamoja na garama zote hzi lakin bado mkopo ni bahati
 
Niliteseka sana nilipokuwa ninaomba mkopo, ila nilipoupata, nikasahau nilivyoutesekea kwa raha zake.

Mkuu, pambana uombe mkopo, utaona umuhimu wake.
 
Umeibiwa me mwaenyewe nime2ma pale pale Pasta MBEYA ni 10600
 
Back
Top Bottom