Bodi ya mikopo...,chondechonde(tutakuf a kwa njaa)

Bodi ya mikopo...,chondechonde(tutakuf a kwa njaa)

Geezzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
849
Reaction score
267
Bodi tugeukieni na sisi wa Verification kwa SUA.Yapata miezi miwili na kidogo hatujapata pesa.ni mateso makubwa sana hasa sisi maskn.Bodi toeni tamko sasa,mmeahidi toka mwezi wa kumi kuwa mtatoa majina,mbona ha2yaoni?
 
Pole mkuu, ndani ya mwezi itakuwa tayari. Probably ndani ya wiki mbili. Keep it tight.
 
Asante mkuu,nani kakupa info mkuu?!
 
Back
Top Bottom