Bodi ya mikopo elim ya juu

Bodi ya mikopo elim ya juu

Simolunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
453
Reaction score
81
Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo vishafungua wao wapo kimya tu
 
Back
Top Bottom