Simolunda JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 453 Reaction score 81 Oct 10, 2012 #1 Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo vishafungua wao wapo kimya tu
Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo vishafungua wao wapo kimya tu