Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hili siyo mara yangu ya kwanza kushauri, utaratibu huu utawawezesha vijana kujiongeza zaidi. Kwa Sasa maisha ya mtaani ni magumu sana tofauti na kipindi kile graduate anamaliza chuo na kupangiwa post. Ni ngumu kijana wa Leo kumpatian pesa miaka 3 ama 4 ama 5 then akihitimu anaondoka bila kitu.
Utaratibu huu utasaidia kuondoa wategemezi kwenye familia, kuwapa fursa vijana za kubunu biashara ndogondogo za kuwaajiri wao na vijana wengine lakini pia kuwaandaa kikamilifu na maisha ya mtaani.
Kwa Sasa hali ilivyo vijana wengine wanashindwa kukopi na maisha kulingana na mtindo waliokuwa wameuzoea kipindi wanasoma.
Fikiria kijana anahitimu chuo anarudi home kuanzia upya kabisa maisha ya upambanaji huku akiwa Hana Kila kitu. Serikali kupitia HESLB endeleeni kuwapatia pesa ya kilujikimu vijana Hawa ili wajiongeze pindi wanapomaliza chuo.