Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

authenticity

Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
13
Reaction score
6
Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?

JPEG_20210511_132042_-562566962.jpg
 
Hii inatokana na mkataba wa ajira kama kuna saa moja kwa ajili ya lunch, cha msingi masaa walao nane ya kazi kwa siku.
 
Utaratibu sehemu za kazi ndivyo ulivyo. Muda wa kula watumishi hupewa nafasi ya kwenda kula.
 
Ofisini ukifika wajitia pilika

Haja unayo itaka mwenyewe utahangaika

Wanajifanya hawajari.
 
Back
Top Bottom