A authenticity Member Joined Apr 13, 2021 Posts 13 Reaction score 6 May 11, 2021 #1 Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
I Idofi JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 2,259 Reaction score 1,962 May 11, 2021 #2 Hii inatokana na mkataba wa ajira kama kuna saa moja kwa ajili ya lunch, cha msingi masaa walao nane ya kazi kwa siku.
Hii inatokana na mkataba wa ajira kama kuna saa moja kwa ajili ya lunch, cha msingi masaa walao nane ya kazi kwa siku.
A authenticity Member Joined Apr 13, 2021 Posts 13 Reaction score 6 May 11, 2021 Thread starter #3 Idofi said: hii inatokana na mkataba wa ajira kama kuna saa moja kwa ajili ya lunch, cha msingi masaa walao nane ya kazi kwa siku Click to expand... Kwahiyo Hawana Shift sio? Mkuu.
Idofi said: hii inatokana na mkataba wa ajira kama kuna saa moja kwa ajili ya lunch, cha msingi masaa walao nane ya kazi kwa siku Click to expand... Kwahiyo Hawana Shift sio? Mkuu.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 May 11, 2021 #4 Kawaida tu mkuu.
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 May 11, 2021 #5 Utaratibu sehemu za kazi ndivyo ulivyo. Muda wa kula watumishi hupewa nafasi ya kwenda kula.
A authenticity Member Joined Apr 13, 2021 Posts 13 Reaction score 6 May 11, 2021 Thread starter #6 darcity said: Utaratibu sehemu za kazi ndivyo ulivyo. Muda wa kula watumishi hupewa nafasi ya kwenda kula Click to expand... Eti mi naonaga Bank tellers wanapeana gap hawaendi ote ili Huduma iskwame.
darcity said: Utaratibu sehemu za kazi ndivyo ulivyo. Muda wa kula watumishi hupewa nafasi ya kwenda kula Click to expand... Eti mi naonaga Bank tellers wanapeana gap hawaendi ote ili Huduma iskwame.
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 May 11, 2021 #7 Ofisini ukifika wajitia pilika Haja unayo itaka mwenyewe utahangaika Wanajifanya hawajari.