Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) mbona tunaongezeana deni kila mwezi, shida nini?

Na walalamikaji wa HESLB ni nyie tu mnaolipwa na hazina, poleni.

Nachojua ukihisi kumaliza deni kafate statement wakikupa ukiona deni limeisha kuna barua unapewa iende kwa mwajiri wako after hapo kukatwa kuna stop.
 
Mimi wanachonikera ni kupata online control namba, ni mtahangaika weee mwisho haipatikani basi unajikuta kila mwezi una route za kuhudhuria loan board kama waenda clinic.
 
Mimi wanachonikera ni kupata online control namba, ni mtahangaika weee mwisho haipatikani basi unajikuta kila mwezi una route za kuhudhuria loan board kama waenda clinic.
Unataka kuanza kulipa? Wewe ni mzalendo kwa bodi sio nchi.
 
Kuna namna hela zetu zinatafunwa sana apo bodi.pamoja na penati yao na deni lote walonipa bado wananiongezea deni lingine tena.
 
Dahh.. sasa mbona sio po

Kuna namna hela zetu zinatafunwa sana apo bodi.pamoja na penati yao na deni lote walonipa bado wananiongezea deni lingine tena.
Yaani Huu uchafu waendelee kuufanya kuna siku utawagharimu , Haiwezekani salary slip deni liwe juu Huku Bodi liko Chini au limeisha Huu upumbavu wa Hali ya Juu kabisa, Kwani Hizi Taasisi Hazina mawasiliano ,Mbona kukata wako fasta
 
Hawa jamaa hata mimi wameniongezea 1.3 million, wanasema eti boom langu walidouble, nikawambia kwenye account yangu ya bank hiyo hela haikuwekwa. Wakadai ilipitia chuo lakini ukweli ni kwamba hata ingepitia chuo lazima kwenye account kiasi hicho kingeonekana. Huo ubabaishaji wa loan board ni hatari kwa beneficiary.
 
Aisee kwel bodi nikama corana aya madeni tukubali kuishi nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…