REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nenda tu ofisini kwao mkuu hakuna jinsi. Ila nawashukuru bodi kwa kumaliza deni languMambo ya loan board yanakanganya sana waliambiwa kufuta value retention fee ili den liweze kulipika lakin wametia mchanga kwenye bahari,tangu wamefanya hivyo wapo kimya kabisa na statement zao zina dosari
Ingia website yao then nenda loan repayment baada ya hapo jisajili kwanza cha muhimu uwe na index number ya F4Mkuu unawezaje kuangalia deni lako bila kufika ofisini loan board
Nenda tu ofisini kwao mkuu hakuna jinsi. Ila nawashukuru bodi kwa kumaliza deni langu
Wanafunzi wengi wa chuo wanakwenda field baada ya kuhitimiaha mitihani ya semista hii. Wengi hawajapata nitification ya bumu la field asa sijui mkurugenzi wao anajua hii. Pale bodi ya mikopo watu wameridhika na mishahara aseee hawana uchungu hata chembe wale
Mbona imefutwa retention fee na penalty zimefutwa, madeni yanafurahisha na yanalipika fika ofisini kwaoMambo ya loan board yanakanganya sana waliambiwa kufuta value retention fee ili den liweze kulipika lakin wametia mchanga kwenye bahari,tangu wamefanya hivyo wapo kimya kabisa na statement zao zina dosari
Mbona imefutwa retention fee na penalty zimefutwa, madeni yanafurahisha na yanalipika fika ofisini kwao
Mie online niliingia bila mafanikio nikafika ofisini....vrf imekua 0.0 penalty 0.0 mil 4 imepungua kwenye deni, labda case yako ni tofautiNimekuulza online statement na ile ya kwao wanayokupa zinafanana,?pia VRF na penalty wamefuta kidogo deni bado ni Bichi,wametoa nusu kwa nusu
Mie online niliingia bila mafanikio nikafika ofisini....vrf imekua 0.0 penalty 0.0 mil 4 imepungua kwenye deni, labda case yako ni tofauti
Deni langu lilifika million 20 sasa limepungua hadi milioni 9 nataka nianze kulipa sasa
Nilikopeshwa milioni 9Ulikuwa umekopeshwa bei Gan ikiwemo penalty na vrf?
Naomba hizo no zaoLikija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo.
Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini.
Haya bodi wenyewe makao makuu wameweka namba ya WhatsApp tuma ujumbe Sasa haujibiwi yani unaona ujumbe umefika na umesomwa ila hawajibu haya tuma email Sasa ndio sahau kabisa kujibiwa.
Swali kama mnashindwa hudumja watu futeni hizo namba za simu watu waje ofisini wenyewe manaa mnashindwa hudumia watu.
2017 oooh sasa ubichi wa deni inategemea umeanza kulipa lini, ila all in all deni lililobaki baada ya kutolewa Retention fee na penalty ni fair kabisa, tulipe bila malalamiko, tulipe kwa moyo mweupeWewe ulianza kulipa den lao mwaka gan?
Nilikopeshwa milioni 9
Pamoja na riba na penalti ndiyo likafika milioni 20
Sijaanza kulipa
2017 oooh sasa ubichi wa deni inategemea umeanza kulipa lini, ila all in all deni lililobaki baada ya kutolewa Retention fee na penalty ni fair kabisa, tulipe bila malalamiko, tulipe kwa moyo mweupe