bodi ya mikopo ipo na shida kwa sababu wapo watu walinufaika na mkopo walimaliza 2008 huko na wanafanya kazi hawakatwi.
wapo waliosoma wapo mtaani wanafanya biashara, sijaona na sijui bodi ya mikopo itatumia njia gani kuwafikia.
so far wanatumia njia rahisi kuwabana waajiri, mfumo wa "ridhiki kitako" yaan hakuna hassle
sasa bwa sheikh inapofika marehemu, NO SIGNAL