Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

yohanamwipopo

Member
Joined
Aug 18, 2023
Posts
6
Reaction score
3
Habarini ndugu,

Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom?

Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo?

(Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya CRDB.)

TAFADHARINI NAOMBENI UFAFANUZI WENU
 
Back
Top Bottom