Bodi ya mikopo elimu ya juu (udom) yazidi kuwasotesha mwaka wa kwanza (baed), hatari ya kujiuza tena

Bodi ya mikopo elimu ya juu (udom) yazidi kuwasotesha mwaka wa kwanza (baed), hatari ya kujiuza tena

Kalinzi

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
86
Reaction score
14
Hatari ya wanafunzi wa chuo kikuu kujiuza kwa awamu nyingine inanukia baada ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutojua hatima ya maisha yao, hali hii inatokana na kutojua tatizo liko wapi na kwanini kwa kuwa mpaka sasa hawajajua watasaini lini majina yao ambayo yalitakiwa kusainiwa mwanzoni mwa december. mpaka sasa wanafunzi hao wanaishi kwa madeni makubwa sana hatari ikiwa kwa akina dada ambao wanapoanza kutafuta pesa hulazimishwa kufanya ngono, lakini kwa hali inavyoonekana hata kujiuza kunanukia
 
Udom kwa mikopo kazi ipo.Na mkihtimu mnadaiwa ada za bodi ilhal mlsaini!! Na hauchukui cheti hv hv!
 
Acha kuhalalisha Ujinga! Kuuza Nyuchi ni Tabia, kama wangekuwa waadlifu si angalau wangekuwa mama lishe,
 
jinamizi la wanavyuo elimu ya juu linazidi kushika kasi katika nchi hii kwa wanavyuo kuzidi kusoteshwa na bodi ya mikopo HESLB. Katika chuo kikuu cha dodoma UDOM wanafunzi wa mwaka wa kwanza karibia kufa njaa kwa kuwa mpaka sasa hawajapewa pesa zao. sababu za kutopewa pesa mpaka sasa bado hazijulikani na kwa sasa wanashindia mikate kama chakula chao, wahanga wa tatizo hili ni kozi za IR(UHUSIANO WA KIMATAIFA) BAED (WALIMU). MANYANYASO HAYA MPAKA LINI?. siamini sana kuhusu mfumo wa utawala ila nahofia sana kuwa huenda kuna ka mchezo ambako huwa kanachezwa viongozi walioko madarakani na wawakilishi BUNGENI FUMBUENI MACHO hakuna elimu katika njaa UDOM WANAIUA TENA INAKUFA KIBUDU.
MI NAHOFIA SANA KWA HAYA YANAYOFANYIKA KWAMBA SERIKALI HAIJUI KWELI. MUUUUUUUUUUUU NIISHIE HAPA.
 
Elimu ya Tanzania ilishakufa zamani,Tangu awamu ya tatu!!!!
 
Hawa jamaa wa HESLB wapo kwa interest zao binafsi wamegeuka Vision & Mission ya Board! Wapumbavu sana hawajui msoto wanaupata wanafunzi. Kuna kundi kubwa la Wanafunzi ambao Updation zao zilifail kutokana na mtandao kusuasua lakini jamaa wamegoma kabisa kuwasikiliza zaidi ya kuwataka waahirishe masoma ili waombe tena Mwakani, Nasisitiza ni wapumbavu sana kwa sababu unapoingia nao mkataba wanachukua mawasiliano yako kwanzi Sanduku la Barua, barua pepe mpaka namba za simu lakini walishindwaje kuwajulisha kupitia hayo mawasiliano pale walipotoa fursa ya mwisho kuapdate?
 
Fanyeni kama Masasi vinginevyo mtasota sana halafu nyie ni wasomi mnajua kabisa Haki haiombwi inatafutwa hata kwa ncha ya upanga, Changamkeni na kesho wapo mjengoni mkifanya tifu hela zenu zitaingia keshokutwa
 
kesho si wapo mjengoni taften petrol choma mjengo wao. La sivo cha moto mtakiona.
 
Ili ufanikiwe kuwajali wengine tumia MOYO wako na ili ujitendee haki bila kujipendelea tumia AKILI yako. Bodi ya mikopo ifuate kanuni hii kujali elimu ya watanzania hawa maskini vyuoni ikiwemo UDOM
 
Msubiri Mwigulu Mchemba amesema anapeleka hoja binafsi bungeni kwenye mkutano wa bunge unaoanza leo ili uundwe mfuko wa kusomesha wanavyuo,kweli nchi imejaa wasanii ni balaa ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom