Bodi ya mikopo elimu ya juu yazidi kufanya madudu.

Bodi ya mikopo elimu ya juu yazidi kufanya madudu.

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
353
Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini?
 
Wakuu!bodi
ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na
kuwapa wachache.hii dalili ya nini?

hujatoa facts za kutosha. wachache ni wangapi? kozi zao zinafanana?
 
Mkuu hoja yako umeicha ikihang hewani,Inabidi ukileta hoja hum uwe na evidence za kutosha ili kuwawezeshesha wana jf waweze kuchangia
 
Back
Top Bottom