MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 353 Mar 17, 2012 #1 Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini?
Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini?
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,780 Reaction score 673 Mar 17, 2012 #2 MANGUNGO said: Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini? Click to expand... hujatoa facts za kutosha. wachache ni wangapi? kozi zao zinafanana?
MANGUNGO said: Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini? Click to expand... hujatoa facts za kutosha. wachache ni wangapi? kozi zao zinafanana?
mtayeshelwa JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,170 Reaction score 390 Mar 17, 2012 #3 Mkuu hoja yako umeicha ikihang hewani,Inabidi ukileta hoja hum uwe na evidence za kutosha ili kuwawezeshesha wana jf waweze kuchangia
Mkuu hoja yako umeicha ikihang hewani,Inabidi ukileta hoja hum uwe na evidence za kutosha ili kuwawezeshesha wana jf waweze kuchangia
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 Mar 19, 2012 #4 ..waliomba mkopo?
MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 353 Mar 19, 2012 Thread starter #5 WaliNazi said: ..waliomba mkopo? Click to expand... Waliomba na wanadhaminiwa na bodi ya mkopo.