Bodi ya mikopo haina pesa kwa sasa !!

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Kwa taarifa nilizopata Hivi Punde kutoka kwa Chombo changu kinachoaminika ni Kwamba Bodi Ya mikopo << HESLB >> kwa sasa Haina Pesa Ya kutosha ya kuweza kulipia kila mwanafunzi Ada Yake Ya chuo na Inasemakana wapo taYari kutoa Majina iwapo tu Serikali kupitia kitengo Chake Cha Wizara Ya elimu itatoa Fungu la Kutosha !!

ANGALIZO: kwa wale ndugu Zangu ambao vyuo vyao vitafunguliwa katikati Ya mwezi Huu wa 9 waanze kujichangachanga Maana HESLB hawatatoa Majina Hivi Karibu Uhakika ni Mwezi Wa kumi kwani Vyuo vingi vinategemewa kufunguliwa tarehe za mwanzo wa mwezi wa kumi !? Mwenye kuamini na amini na asiYe amini Basiii
 
kuhusu vyuo vya nje ambavyo tayari vimeshafunguliwa itakuwaje? Ama unaongelea vyuo vya ndani tu? Uliza hio source yako upate taarifa kamili kaka
 
kuhusu vyuo vya nje ambavyo tayari vimeshafunguliwa itakuwaje? Ama unaongelea vyuo vya ndani tu? Uliza hio source yako upate taarifa kamili kaka

nazungumzia vyuo vya ndani mkuu
 
Mimi nafungu tar 15 oct,sina wasiwasi tena. Najua tu mwisho wa siku watatoa hata kama ni mwezi wa 10.
 
Mimi nafungu tar 15 oct,sina wasiwasi tena. Najua tu mwisho wa siku watatoa hata kama ni mwezi wa 10.

ndo ivyo kijana wewe nenda kasome !! Kama ulijaza kozi ya priority usiwe na wasiwasi utapata mkopo kama kawaida
 
Kama ni kuwapa mkopo watu wenye Priority pekee sasa fedha hatoshi kivipi? Kwasababu course zenye priority hazifiki 30 na waliochanguliwa hwafiki elfu 15 kweli bado hazitoshi? Na walisema ''Possible loan amount is subjected to means testing"
 
kwa taarifa zikizo ingia hivi pute ni kwamba chanzo cha yote haya ni wale jamaa zetu TCU wamechelewa kupeleka majina HESLB
 
Dah acha tu man..atleast wangetoa taarifa watu waelewe moja kwamba watafanya nini..hao wanaoenda tarehe 15 sasa sijui watafanyaje..
nilivyo sikia nikua TCU ndo chanzo walichelewa kupeleka majina HESLB ndo maana jamaa wamechelewa,
 
Sasa na hiyo ya empty slots za MUHAS ndo itakuwaje? Inamaana hawa HESLB watasubiri hadi sept 17 ambayo ndo deadline ya hzo slots za MUHAS ? Hapa itatuhusu.
 
Sasa na hiyo ya empty slots za MUHAS ndo itakuwaje? Inamaana hawa HESLB watasubiri hadi sept 17 ambayo ndo deadline ya hzo slots za MUHAS ? Hapa itatuhusu.

alaf baba Riz katulia kama gaoni vile, au kwasababu mwaka huu hakune mkwewe??
 
ndugu zeduduz kwani applicant wote wanapata mkopo ama ni wale wenye vigezo tuuuuu
 
vp kuhusu continous na wenyewe vp au ndo pesa itachelewa kama mwaka jana wa masomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…