naomba msaada wenu jamani , nimesha appli HESLB lakini ukimaliza ku apply kuna option ya ku print filled forms . swali langu je ni lazima ku print na kama ni lazima ukiprint hizo hard copr unazipeleka sehemu au vp?
by the way niki click hy option ya ku print naishia kuambiwa ni log in again..