Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia deadline.
Je, ni kuonesha bodi ya mkopo hawajazipitia hizo fomu za maombi au wanaangalia vipengele vipi ili kuruhusu fomu kufanyiwa marekebisho?
Hii ni kwenu HESLB.
Je, ni kuonesha bodi ya mkopo hawajazipitia hizo fomu za maombi au wanaangalia vipengele vipi ili kuruhusu fomu kufanyiwa marekebisho?
Hii ni kwenu HESLB.