sure kaka me pia ni miongoni mwaoNdugu wana jf hii changamoto nime hii iona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila azijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia deadline je ni kuonesha bodi ya mkopo hawaja zipitia izo fomu za maombi au wanaangalia vipengele vipi ili kuruhusu fomu kufanyiwa marekebisho
hii ni kwenu heslb
dah hapa tuombe Jf wasaidie kupaza sauti hawa jamaa mifumo yao bado haiko sawandg yangu me pia silali hapa nilipo complete final form (page8) inaonesha cheti cha kuzaliwa option ya kulekebisha pia sijapewa na sijui sababu nini siku zimebaki5. mungu atusaidiye
contacts siyo ngumu kuzipata ngumu ni wao kupokea simuna hawa jamaa kupata contacts zao imekuwa ngumu sana
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia deadline.
Je, ni kuonesha bodi ya mkopo hawajazipitia hizo fomu za maombi au wanaangalia vipengele vipi ili kuruhusu fomu kufanyiwa marekebisho?
Hii ni kwenu HESLB.
amina ndg me pia naitaji jibu kwa hiliKwani Bodi ya mkopo lini wanatoa majina ya wanafunzi ili kuruhusu Appeal na muda wa wanafunzi kuripoti vyuoni umekaribia.
Wanafunzi wanasubiri,ili waliokosa mkopo wajue wanajipangaje majina yanatoka one week before opening date. Je,aliyekosa mkopo atawezaje kulipa hiyo ada na alijua mkopo ni mkombozi hata wazazi wanabaki njia panda.amina ndg me pia naitaji jibu kwa hili