Kama chuo unachosoma mnavaa uniform endeleeni kusubiri boom mpaka mwezi ujao.Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni,kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa.Kama haukupokelewa ni kwa Nini hadi nukta hii bodi imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo,mbona kama bodi imekuwa wakati mwingine ikifanya makusudi? Binafsi naomba hao wanufaika wapewe haki Yao kwani wanafunzi wana hali mbaya sana huko vyuoni.
Eti wanafunzi wanaovaa uniform mbona Mimi Niko chuo ambacho ni tawi la Udsm hapa jijini na sivai uniform sijaingiziwa mkuu,au tunapewa kwa mafunguKama chuo unachosoma mnavaa uniform endeleeni kusubiri boom mpaka mwezi ujao.
wanafunzi wa vyuo vikuu tayari wameingiziwa Boom since Monday
Kama upo kwenye tawi apo sasa ukae kwa kutulia (jokes),ila kugawa kwa mafungu iyo ni kawaidaEti wanafunzi wanaovaa uniform mbona Mimi Niko chuo ambacho ni tawi la Udsm hapa jijini na sivai uniform sijaingiziwa mkuu,au tunapewa kwa mafungu
Chuo gani bado hamjaingiziwa boom?Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni, kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa.
Kama haukupokelewa ni kwa Nini hadi nukta hii bodi imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo, mbona kama bodi imekuwa wakati mwingine ikifanya makusudi? Binafsi naomba hao wanufaika wapewe haki uao kwani wanafunzi wana hali mbaya sana huko vyuoni.