Kuwa mvumilivu kijana na hakika utapata maana bado wanaendelea kuwapanga batch zingine,ivyo subra muhimu usikate tamaa🙏.Kichwa cha habari cha husika,
Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering
Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika na bodi ila kila batch naona nasogezwa mbele, matumaini yote yamekata na sijui cha kufanya.
Batch ya pili tiali ilikuwa itoke ijumaa hawakutoa wakatuandikia tar 27 ila cha ajabu kuwa wenzetu wengi tu walipangiwa mkopo siku ya jmosi.Hawajatoa batch ya pili bado nimoja
Kuwa mvumilivu kijana mkopo iBatch ya pili tiali ilikuwa itoke ijumaa hawakutoa wakatuandikia tar 27 ila cha ajabu kuwa wenzetu wengi tu walipangiwa mkopo siku ya jmosi.
Hapan Ile ilikuwa ya kwanzaaa ndo maan uliangalia bado wanaleta open status1 na Iko ndani ya wale wanafunzi efl 20 ndo maan bodi haijatoa update zozote baada ya hapoBatch ya pili tiali ilikuwa itoke ijumaa hawakutoa wakatuandikia tar 27 ila cha ajabu kuwa wenzetu wengi tu walipangiwa mkopo siku ya jmosi.
Asante asante nimeelewa kwenye ili.Hapan Ile ilikuwa ya kwanzaaa ndo maan uliangalia bado wanaleta open status1 na Iko ndani ya wale wanafunzi efl 20 ndo maan bodi haijatoa update zozote baada ya hapo
Oh Asante sana umetufumbua wengi hata mimi nilikuwa sijuiHapan Ile ilikuwa ya kwanzaaa ndo maan uliangalia bado wanaleta open status1 na Iko ndani ya wale wanafunzi efl 20 ndo maan bodi haijatoa update zozote baada ya hapo
Amen[emoji120][emoji120]Kuwa mvumilivu kijana mkopo i
utapata, mama mwaka huu amemwaga pesa kwa waombaji utadhani nizakuokota[emoji120][emoji120]
Kwa kesi yako kama ni kweli si mbaya kuomba mkopo lakini Hii mikopo tunaipenda lakini mziki wake utauona ukimaliza chuo na ukianza kazi.Kichwa cha habari cha husika,
Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering
Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika na bodi ila kila batch naona nasogezwa mbele, matumaini yote yamekata na sijui cha kufanya.
Na usipo ajiriwa serikalini ?Kwa kesi yako kama ni kweli si mbaya kuomba mkopo lakini Hii mikopo tunaipenda lakini mziki wake utauona ukimaliza chuo na ukianza kazi.