Fidelis Greygod
Member
- Jun 28, 2024
- 5
- 7
Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo.
Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka machaguo mawili tu yaani Certificate na form 6 tu, kwa hiyo wahitimu wa form 4 ambao wameshalipia na application fee mnawasaidiaje?