Fidelis Greygod
Member
- Jun 28, 2024
- 5
- 7
Ngoja tusubir wakujeSamahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo.
Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo(OLAMS) education level wameweka machaguo mawili tu Yaani Certificate na form 6 tu, Kwa hiyo wahitimu wa form 4 ambao wameshalipia na application fee mnawasaidiaje?
Nimemalza form six kakaIli uingie diploma vyuo vingi vinahitaji watu waliomaliza form 6 au certificate ya mwaka mmoja ila nahic Kuna baazi ya vyuo vinachukua f4 holder wenye ufaulu wa juu
Mitano tena
Sasa si umekizi vigezo fom 6 kama ulivosema shida nn?Nimemalza form six kaka
We form four failures kule kwenye uzi mwingine unatuuliza nini kwa kudanganya ni mdogo wako kumbe ni wewe? ephen_ ona huyu boya anatusumbua kumshauri.Kumbe tupo wengi,
Mwenyewe nimeshangaa sana wamekula 30 ya maombi, nikaliwa 6 ya kuhakiki cheti RITA bado gharama nyingine kibao nimechoma halafu nakuta kipengele cha "post form four" aisee nikalegea kabisa
Yaani humu jf mtu hawezi kusema ni yeye lazima atasingizia ni ndugu yake au rafikiWe form four failures kule kwenye uzi mwingine unatuuliza nini kwa kudanganya ni mdogo wako kumbe ni wewe? ephen_ ona huyu boya anatusumbua kumshauri.
Kaka upo mwaka wa ngap city college, me pia nakuja hapo kwa koz hiyoHuyo wa form six hajaelewa lengo langu,, mm nahoji kuhusu mkopo wahtmu wa form four chuo nshapata diploma in clinical dentistry City College
"Wauza Madafu Wa Ikulu" wana uelewa wa juu sana siyo wewe ambaye hata kuelewa sentensi za kiswahili unashindwaWe form four failures kule kwenye uzi mwingine unatuuliza nini kwa kudanganya ni mdogo wako kumbe ni wewe? ephen_ ona huyu boya anatusumbua kumshauri.
Na wewe umeungana na kauli hizo? Basi sawa ila tambua nilikukubaliYaani humu jf mtu hawezi kusema ni yeye lazima atasingizia ni ndugu yake au rafiki
Na huyu form 4 alimaliza muda tu
Usichukulie vitu serious mkuu😂Na wewe umeungana na kauli hizo? Basi sawa ila tambua nilikukubali
Pamoja kamandaUsichukulie vitu serious mkuu😂
Chief naona wameweka kipengele cha form four sasahivi lakini nikifika mwisho wa hatua hiyo haitaki kucomfirm, inasema nijaze taarifa za sponsorship ya post form four education wakati mimi kule nilijaza "no" sina sponsorship. Namba yao ya huduma kwa wateja nimesubiri dk 35 hawajanipokelea simu yangu HEBU NJOONI TUPEANE UJUZI NA MIONGOZO HAPASamahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo.
Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka machaguo mawili tu yaani Certificate na form 6 tu, kwa hiyo wahitimu wa form 4 ambao wameshalipia na application fee mnawasaidiaje?