Bodi ya mikopo,heslb.

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Nimeingia kwenye web ya heslb,hakuna taarifa yoyote juu ya application 2013/14,kama walivyokuwa wametangaza kuanza leo;kama kuna m2 anataarifa zaidi atujuze
 
kaka fungua olas.heslb.go.tz ndio imeshaanza fanya kazi hiyo system ila tangazo hawajaweka bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…