Bodi ya mikopo imedanganya?

Bodi ya mikopo imedanganya?

Joined
Jun 15, 2013
Posts
22
Reaction score
5
Katika gazeti la habarileo la jumatatu Agosti 5,2013 mwandishi alimnukuu mkurugenzi wa mawasiliano wa heslb akisema"mpaka wakati wa kusitisha kupokea maombi kwa mwaka huu,wanafunzi 54370 ambao ni waombaji mikopo kwa mara ya kwanza walishakamilisha maombi yao."wakati huo huo waziri wa elimu wakati akisoma bajeti ya wizara yake bungeni alisema"serikali kupitia heslb,itatoa mikopo kwa wanafunzi 35649 ambao ni waombaji wapya na 62376 wanaondelea" ukichukua idadi ya wanafunzi waliokosa na waliopata ambao ni waombaji wapya akiendani na kile alichozungumza waziri bungeni,kwa mantiki hiyo bodi imetoa mikopo kwa wanafunzi wachache,waliopata ni kama31370 ni kinyume na ahadi ya waziri bungeni, na waliokosa ni wengi. Je dhumuni na lengo la bodi kuudanganya umma au? Nawasilisha.
 
wizi mtupu
 
Samahani kidogo mleta uzi....

Hiyo idadi ya waliopata mkopo kwa mara ya kwanza umebashiri ama ni uhalisia wake....
 
bodi wapo sawa mlata thread umekurupuka jipange atupo teyari kujadil uzushi
 
Unajua watanzania hatuwezi pata haki wala maendleo kwa sababu ya baadhi ya watu vgeugeu,jamaa kaleta mada wewe unapinga hjaweka data zako unataka tusikilize nini ktoka kwenu?.mkajipange nyinyi wake wa vipogo wa HESELB shwaini zenu
 
HIGHER Education Students’ Loans Board (HESLB) on Friday released names of 29,754 applicants who have qualified for loans in the 2013/2014 academic year.

The Board’s Director of Communication, Information and Education Mr Cosmas Mwaisobwa said in Dar es Salaam on Friday that the number of all successful applicants stood at 94.04 per cent against earlier projection of 31,647 students.

“For the academic year 2013/2014, the government has set aside 306bn/- as loans to students,” Mr Mwaisobwa explained. He said a total of 29,754 new beneficiaries and 61,692 others continuing with their studies at different stages would be given loans amounting to 325bn/-

“The entire process of loan allocations has already been completed by 90 per cent and by the first week of October, this year everything will be ready,” he stressed.

According to the director, name of applicants who have qualified for the loans in 2013/2014 academic year are available in the Board’s website http://www.heslb. go.tz/.

He said there were 53,239 new applicants, 43,032 applicants with admission, 6,364 applicants whose applications had problems, 3,151 applicants who corrected their problems while 3,213 did not correct their problems.

“Of all the new applicants, 53,239 were local undergraduates, 156 local postgraduates, 51 overseas postgraduates and 184 were overseas undergraduates,” he said.

He added that for those with admissions at hand, 60,577 were local undergraduates, 699 local postgraduates, 118 overseas postgraduates and 298 overseas undergraduates.

Mr Mwaisobwa assured all students who have qualified for the loans that all procedures to transfer the funds to the respective colleges/ universities where they have been admitted were going on well.

“Once again I take this opportunity to remind all successful applicants to have their bank accounts where the loans will be channeled,” he said. HESLB was established in 2004 and started its operations in 2005 with two main functions of releasing loans for students with admission in higher education and recovering the loans released since 1994/1995.
 
Kwa hili nimejifunza vitu 1.serikali yetu ni sawa na mwanaume anayekataa mimba na kumsababisha mwanamke kuitoa mimba[heslb] 2.bodi hawatendi haki wanatunga mimba ya kufa kwa ccm 3.serikali ni waomgo bora hata yahaya misifa kibao [94% eti wamepata mkopo] 4. Bodi wanapenda tuwatongoze kwa haki zetu 5. Serikali ilitujengea mazingira ya kutegemea mikopo ili watunyanyase 6.rizuani alipata mkopo kwa kuwa baba yake hakuweza kumlipia teh teheee! ¤mungu bariki tanzania achisha kazi waajiriwa wa heslb, ondoa chama tawala maana ni kama kansa ya damu na mifupa, mafuta,almasi,tanzanite ni mali ya watanzania na c ya chama cha chukua chako mapema. Kwaheri nimekosa mkopo nanyi mtayakosa yangu 2015
 
Dah! mdau mbona unakata tamaa mapema hv? Kuna jamaa wako huko town wanapambana kuhusu sakata hili. Mimi mwenyewe ni mhanga wajanga hili. Tujipe moyo, huenda mambo yakawa mazuri punde!!
 
Back
Top Bottom