malimwengu
Member
- Aug 29, 2011
- 21
- 12
kanakurupuka tu haka katoto, wewe fikiria hata hakajaenda Chuo kanafikri maisha yapo simpo. Hakajui ukifika kule unafutilia hilo boom lenyewe mpaka mwezi mzima unapita. Ni utoto tu, kama umepata mkopo shukuru Mungu laikini usiwabeze waliokosa eti waliiba mtihani kisa wewe kilaza umefeli. Kwani Mzumbe, Illboru, Kibaha, Tosamaganga, Malangali, Msalato si shule za serikali? Nao wanaiba mitihanikuna mtoto wa dadangu naye amesoma shule ya serikali amepata div 1 amekosana loan na wazazi wake hawana uwezo kabisa kumpeleka chuo mtoto amechanganyikiwa kabisa
Ndugu yangu mimi nimesoma Ordinary Diploma nimeshangaa Bodi inakata ka-mshahara kangu et inanidai nimefuatilia weee had nimechoka!.Bodi ni wiz mtupu!!!!!!!!!!kwa kukuonyesha unachoshabikia sio kweli mm binafsi nimesomashule zaserikali kuanzia std 1 mpaka 6 nimepata div one namkopo nimekosa. Nimewekwa kwenye kundi la Previous loanees wakati hata harufu ya chuo kikuu siijui.
Hebu nishawishi niifagilie hii bodi?!!!....
<br />Ha ha ha! kweli kuna watu na makatambüga! Kwa hyo maskini ndo huwa wanafeli sasa mbona shule zilizoongoza kufaulu ni za serikali.
Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition lukuki na kuiba mitihani wanapata wani halafu wanatesa na mikopo asilimia mia, wakifika vyuoni wanatanua tu. Sasa Bodi imewakomesha, hakuna wani wala nini, kama babako tajiri no Loan. Hureeee Bodi ya mikopo kazeni uzi.

<br />kanakurupuka tu haka katoto, wewe fikiria hata hakajaenda Chuo kanafikri maisha yapo simpo. Hakajui ukifika kule unafutilia hilo boom lenyewe mpaka mwezi mzima unapita. Ni utoto tu, kama umepata mkopo shukuru Mungu laikini usiwabeze waliokosa eti waliiba mtihani kisa wewe kilaza umefeli. Kwani Mzumbe, Illboru, Kibaha, Tosamaganga, Malangali, Msalato si shule za serikali? Nao wanaiba mitihani
<br />Maskini akipata matak* hulia mbwataa..ndo huyu dogo sasa.