Bodi ya mikopo inataka kuzimisha ndoto zangu sijui nifanyeje

Ha ha nimecheka eti video ya mazishi, hao jamaa walinipa 80% na vyeti vyote niliwapa, sema nilikuwa na bahati niliappeal wakanipa 100%
 
Wat wanapat mkopo mpaka batch ya 5c nenda kasome kijana. Mungu muweke mbele
Sasa unasomaje bila pesa mkuu..
Yaan kiukweli wanafunzi wengi kkulilia mkopo ujue financially hawako stable.. Kama mtu uko vizur huwezi kukialia na mikopo yao maana ni mizinguo tu
 
Sasa unasomaje bila pesa mkuu..
Yaan kiukweli wanafunzi wengi kkulilia mkopo ujue financially hawako stable.. Kama mtu uko vizur huwezi kukialia na mikopo yao maana ni mizinguo tu
Dah wanafunzi wengi inaonekana hawajapata alafu utaratibu wa majina mwaka huu sijauona kabisa...MTT wa kabwela atasomaje bila mkopo sasa,iyo batch ya tatu nliskia n mwez wa 12 ,sasa MTT akipata iyo batch ya tatu alafu yupo home kuna kusoma kweli hapo mana wenzake watakuwa walianza mapema sana...heslb wahurumieni madogo aisee yan MTT wa maskin kakosa alafu kozi unakuta ni potential kabisaa
 
Barabara mkuu, heslb mwaka huu chenga tupu
 
Sasa unasomaje bila pesa mkuu..
Yaan kiukweli wanafunzi wengi kkulilia mkopo ujue financially hawako stable.. Kama mtu uko vizur huwezi kukialia na mikopo yao maana ni mizinguo tu

Mkuu Amna uwezekano upate hela ya semista 1 na direct fee.uku ukisbr batch zinazokuja.
 
Jamani waambieni HESLB watoto wengi huko UDSM hawajapata mikopo wa first year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…