hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Miaka mingine walikuwa hawapewi mbona walikuwa wanaenda kusoma, afu shida sio diploma kupewa, ni njia waliyotumia yaani wamepunguza huku wakaweka huko, inshort wamefosi tuRoho mbaya haijengi mkuu..hao diploma wamekwambia wanataka kwenda kusoma degree..keki ya Taifa kuleni wote
Yaan badoBado hamjasema
Mkuu, Mwambie aliekuandikisha shule std1 aendelee kukusomesha aache kutegemea serkali.Yaan bado
Mimi sio muhangaMkuu, Mwambie aliekuandikisha shule std1 aendelee kukusomesha aache kutegemea serkali.
Basi wape habari madogo wazazi waache uvivu.Mimi sio muhanga
Mkuu kuna vitu vingi hujavijua bado.Basi wape habari madogo wazazi waache uvivu.
Najua vyote, Wazazi wapigike haiwezekani usomeshwe na serkali afu na ajira utake.Mkuu kuna vitu vingi hujavijua bado.
Una uhakika gani mkuuWatarekebisha soon sikilizia..
Mara nyingi ndivyo inavyokuwa japo kila siku si ijumaa , Wanafunzi wa mwaka wa tatu sasa mwaka wao wa kwanza walipewa 20% mwaka wa pili wakaongezewa mpaka 100% .Wa mwaka wa 2 sasa nao wameongezewa mwishoni wa semester ya kwanza sasa hivi karibia wote wana 100% japo wakati wanaingia chuo waliingia Kinyonga.Una uhakika gani mkuu