mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?.
Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya malipo, wananiambia basi niandike barua ya kusitisha makato na hiyo pesa ntarudishiwa.
Kwa huu usumbufu na msononeko walionipa ntafanyaje?