A
Anonymous
Guest
Tunaomba Mtusemee!
Hawa bodi ya mikopo Kuna figisu wanafanya mara ya kwanza walisema tarehe 20 Mei watatoa mikopo, lakini tarehe ishirini ikafika kwa SAUT Mwanza wakasema tuende tukahakiki account zetu za benki. Tukaenda hapakuwa na uhakiki, Ilikuwa ni kusaini makaratasi tu. Juzi wamesema kufikia tarehe 3 kila mnufaika wa mkopo atakuwa amepata lakini huku SAUT Mwanza hakuna hata mmoja aliyepata. Ninahisi kuna kitu hakiko sawa HESLB kuna vitu haviendi sawa.
Vita picha kama wafanyakazi wa HESLB wangekuwa wanacheleweshewa mishahara au hata wafanyakazi wengine wa serikari , Kuna feeling Fulani lazima watapata, nimetolea mfano wa Mshahara kwa Sababu kwa wanafunzi boom ndio tunategemea Ili kijikimu na sio kwamba tunapewa bure, hapana tutakuja kulipa tena kwa riba.
Bodi ya mikopo ijitafakari ufanisi umekuwa mdogo na hizi ni zama za technology ambapo vitu vingi vinaweza kuwa Automated , Wanafunzi wanteseka sana kwa kuwa wao HESLB wamekaza huku ofisini hawawezi kujua.
Pia soma HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024