Kayabwe JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 385 Reaction score 86 Jul 1, 2012 #1 wanafunzi wa Jordan-Moro walienda field kabla ya wa UDS zaidi ya wiki mbili.Cha kushangaza hatujapata pesa ya field lakini UDSM wamepata.Kwanini?
wanafunzi wa Jordan-Moro walienda field kabla ya wa UDS zaidi ya wiki mbili.Cha kushangaza hatujapata pesa ya field lakini UDSM wamepata.Kwanini?
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Jul 1, 2012 #2 Nguvu ya umma iliyopo UDSM. Serikali hii ni dhaifu, bila shinikizo haifanyi kitu
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 591 Jul 1, 2012 #3 LiWALO NA LiWE
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jul 1, 2012 #4 Udsm kuna nguvu ya umma.asa nyie mnajifanya walokole wataacha kuwadharau!
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jul 1, 2012 #5 ninyi si ndio mmnajifanya magamba liwalo na liwe
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 319 Jul 1, 2012 #6 Poleni mi nimesahau ata tarehe niliyoingiziwa,uenda tatzo lipo apo chuon kwenu na serikali yenu ya wanafunzi kwa kuto kufatilia kwa ukaribu zaid swala hili.
Poleni mi nimesahau ata tarehe niliyoingiziwa,uenda tatzo lipo apo chuon kwenu na serikali yenu ya wanafunzi kwa kuto kufatilia kwa ukaribu zaid swala hili.
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,342 Jul 1, 2012 #7 wanafunzi wote ama wa kiislamu tu? Si NECTA na serikali ya ccm wanapendelea wakristo
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Oct 13, 2014 #8 :wacko: