Dickson Alex
Member
- Jun 1, 2012
- 37
- 4
Natumai hapo juu nimekata mzizi wa fitna haina haja tena ya ku fuata huyo link
akhsante sana mwanaJF,maana mi natumia simu nadhani inaweza kuwa sababu ya hitilafu hiyo.
NingaR umetisha sana kweli Dom tumepata vipanga ha ha ha ha ha hah
kudadeki kumbe nitalamba 100%
Kijana punguza munkhari hujui nini kitakuja mbeleni
daah ila kweli
Ha ha ha kijana umekua mpole gafla.
chezea boom eeh