D Dik JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,205 Reaction score 416 Jun 30, 2012 #1 Wana jf kwa wale wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na bodi ya mikopo, mwisho wa ku update taarifa ni leo 30 June lakin cha kushangaza toka asubuhi website ya bodi haifunguki kabisa! Tufanyeje? Hili limekaaje? Tushausiane wana jf
Wana jf kwa wale wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na bodi ya mikopo, mwisho wa ku update taarifa ni leo 30 June lakin cha kushangaza toka asubuhi website ya bodi haifunguki kabisa! Tufanyeje? Hili limekaaje? Tushausiane wana jf
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 30, 2012 #2 We ulikua wapi siku zote hizo?
Q Qixima mQiqa Senior Member Joined May 18, 2012 Posts 178 Reaction score 20 Jun 30, 2012 #3 Huo ni uzembe wako. Mods ondoweni hii kitu katika jukwaa la siasa
IHOLOMELA JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,807 Reaction score 1,675 Jun 30, 2012 #4 wanataka wengi mshindwe ku-update then wawa-disqualify mkopo...