Bodi ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu imetangazwa kuwa watatoa upya list ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo kwa kugawa kama ifuatavyo
BOOKS & STATIONERY
MEALS & ALOWANCE
FIELD ALOWANCE
SPECIAL FACULTY na
SKULI FEES.
Nawasilisha hoja.
Niliwaona wana HELSB wanahojiwa TBC asbuh moja baada ya majina ktoka walisema mgawanyo huo 1st year wataukuta vyuoni sa we huo upotoshaj umeutoa wap? Kawaclishe kweny jukwaa la siasa cyo humu