Bodi ya Mikopo kwa Darasa la saba kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
Ningependa kujua kuhusu Bodi ya Mikopo kwa Darasa la saba kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja.
Je watawekwa nao na kupata mikopo?
 
Ndio kwa kuwa nao ni wanafunzi na tunaendeleza vipaji nyie mmeshindwa kuvumbua chochote zaidi ya kufilisi mashirika na makampuni mnayofanyia kazi na kulalamikia serikali,tutaanza na wachaga na wakinga kwa majaribio
 
Ha ha ha....
 
mh! haya ngoja tusubiri tuone kama watapewa maana hizi system za siku hizi hazitabiliki
 
Na mimi nataka niende huko bodi wanikopeshe pesa ninunue gari.
 
Mbona sijawaona hao wakituma maombi bodi ya mikopo?

Sent from my BlackBerry 9630 using JamiiForums
 
ni bahat kupata kwasababu hawa watajiunga wakiwa tayari wao ni wafanyakaz so kwa asilmia kubwa watategmea vpato vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…