Bodi ya Mikopo lini inatoa majina?

Bodi ya Mikopo lini inatoa majina?

anuani ya bodi huna?..watu mpaka now hatujui hatma yetu wewe unaleza zako zakuleta
 
Sikilizia jomba kitu cha msingi xaxa ivi omba mungu kwa xana ili uwe miongoni mwa wataopata mkopo ila hesbl wanazingua xana
 
Namba ya wanaokadiriwa kupata mkopo ni ndogo ukilinganisha nawaliokua admited vyuoni, Mwombeni Mungu atasaidia
 
Back
Top Bottom