Jambo linalo onekana katika nchi yetu kwa sasa ni tabaka la walionacho na wasiöacho, kiukweli hakuna ndoto za watoto wa maskini bali wote wanataka watufunge katika sehemu moja kwa kutoa priorities hivyo wa kutimiza ndoto zao watakuwa watoto wa matajiri wenye uwezo wa kughalimikia masomo wanayo taka.