Bodi ya Mikopo na pesa za wanafunzi wanaosoma njee ya Tanzania

Bodi ya Mikopo na pesa za wanafunzi wanaosoma njee ya Tanzania

cheer

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
35
Reaction score
4
Imefika wakati bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ibadilike,kwa muda sasa sisi wanafunzi tuliochina tunasubiri mikopo yetu lakini hatujapewa taarifa yoyote ya kuaminika toka wahusika.

Jambo la kuzingatiwa ni kuwa wanafunzi wengine tumeshaanza kukatwa mikopo yetu ya undergraduate na hivyo haina maana kutucheleweshea fedha zetu kana kwamba ni msaada na siyo mkopo.
 
Why China? Mbona Tanzania vyuo vina nafasi nyingi zilizokosa wenye sifa?
ndio hivyo mkuu,kama umekosa nafasi wenzako wanazitumia,kama hukufauru vizuri hizi nafasi za nje huwezi zipata,we jibane na bongo tu.
 
Pole sana mkuu, uvumilivu ndo mpango mzima kwani hata vyuo vya ndani ya nchi wapo wanafunzi hawajalipwa tangu mwezi wa kumi.Hii bodi inabidi ichunguzwe na TAKUKURU
 
Back
Top Bottom