Bodi ya mikopo na watu wa diploma inawahusu!!!

Bodi ya mikopo na watu wa diploma inawahusu!!!

Joined
Sep 4, 2013
Posts
55
Reaction score
7
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa hapo ni wale waliomalza muda gan? Naomba msaada wenu.
 
wenye diploma waliomaliza miaka 3 iliyopita wanaosoma degree au advanced dip watapewa mkopo ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom